Kuna changamoto kubwa sana na inajirudia mara kwa mara kwenye ATM za NMB Buhongwa hali inayoleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wanaotokea maeneo mbalimbali na kuna taarifa kwamba wanafanya makusudi ili watu waende kwa mawakala ambako makato ni makubwa zaidi kwani changamoto huonekana zaidi...