Habari ya leo wanajf!
Naombeni ushauri wa namna ya kukabiliana na changamoto hii ya aridhi kwa busara na kwa amani. Mimi na mwenzangu tulinunua viwanja sehemu moja iliyopimwa, kwa hiyo ni viwanja halali na vina hati.
Changamoto iliyojitokeza ni kwamba alitokea bwana mmoja akawahi kujenga...