chan 2025

Gary Chan Hak-kan, BBS, JP (born 24 April 1976) is a current member of the Legislative Council of Hong Kong. He represents the New Territories North East constituency and is a chairperson of the Democratic Alliance for the Betterment and Progress of Hong Kong (DAB) political party.

View More On Wikipedia.org
  1. RC Chalamila: Golikipa asipofungwa leo aje kuchukua crown kwangu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, Agosti 22, 2025 ametangaza motisha ya Shilingi milioni 20 kwa wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuelekea mchezo wa robo fainali ya Michuano ya CHAN dhidi ya Morocco, unaotarajiwa kupigwa usiku huu katika Uwanja wa Benjamin...
  2. Waliopo CHAN kuikosa Ngao ya Jamii

    Kwa asilimia kubwa wachezaji wa Simba na Yanga waliopo katika kikosi cha Taifa Stars kinachoshiriki michuano ya CHAN huenda wakaukosa mchezo wa ngao ya Jamii utakaopigwa Septemba 16 Soma pia: Yanga kucheza na Simba Ngao ya Jamii
  3. Kenya hatarini kupoteza haki ya kuandaa mechi za robo fainali za CHAN kutokana na utovu wa nidhamu wa mashabiki, LOC yaonya

    Mashabiki wa soka wa Kenya wakishangilia ushindi wa 1-0 wa Harambee Stars dhidi ya Morocco katika mechi yao ya tatu ya Kundi A ya CHAN 2024 kwenye Uwanja wa Kasarani tarehe 10 Agosti 2025. Rais wa FKF Hussein Mohammed ametangaza mpango wa kuanzisha maeneo rasmi ya mashabiki (fan zones) kwa...
  4. Taifa gani unaipa nafasi kubwa ya kuibuka mabingwa michuano ya CHAN?

    Kura yako unaipleka taifa gani kwenye michuani ya CHAN mdau wa JF? Soma pia: Bado siku chache mno CHAN kuanza lakini Tanzania imepoa, hakuna promo yakutosha, mji haujapendeza kuvutia wageni
  5. Kikosi Cha Tanzania kwajili ya CHAN 2024

  6. Timu ya Taifa ya Tanzania ( Taifa Stars) yapangwa kundi B CHAN 2025

    Timu ya Tanzania ( Taifa Stars ) imepangwa kundi B michuano ya CHAN 2025 itakayofanyika mwezi wa nane mwaka huu. Ambapo Tanzania, Kenya na Uganda ndiyo wenyeji wa michuano hii ambayo ilitarajiwa kufanyika mwezi wa pili mwaka huu 2025, kabla ya kupelekwa mbele na CAF kutokana na sababu za...
  7. V

    Tetesi: CHAN 2025 kusogezwa mbele hadi Agosti 2025

    Ripoti ambazo hazijatibitishwa zinaeleza kwamba michuano ya 2024 ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (TotalEnergies African Nations Championship) itasogezwa mbele hadi Agosti 2025. Ingawa CAF bado haijatoa taarifa rasmi kuhusu maendeleo haya, kuna ripoti kwamba uamuzi...
  8. A

    CHAN 2025: Tanzania tusifanye makosa yanayayoendelea Zanzibar kujaribu wachezaji

    Naam, Tanzania tunaenda kuwa sehemu ya wenyeji waandaaji wa CHAN 2025. Ngoja niwaambie, Haya mashindano ndio size yetu kwa 100% tukiwa serious kama tulivyokuwa serious wakati mashindano haya yanaanzishwa rasmi 2009 kwa mara ya kwanza ivorycoast tunabeba hili Kombe. Mwaka 2009 tukiwa na Marcio...
  9. Waziri wa Michezo wa Afrika ya Kati akimkabidhi Kocha wa Timu yao Taifa zawadi ya Pikipiki baada ya kufuzu CHAN 2025

    Central African Republic Sports Minister presented this new motorbike to coach Sébastien Ngato for guiding them through to the 2024 CHAN tournament. This is the most expensive bike in the country and it’s a nice way to reward the coach for his efforts.
  10. Arajiga, Komba wachaguliwa kuchezesha CHAN 2025

    Marefa wawili wa Tanzania, Frank Komba na Ahmed Arajiga, wamechaguliwa miongoni mwa marefa 65 watakaosimamia mechi za Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) 2025 zitakazofanyika Kenya, Uganda, na Tanzania kuanzia Februari 1 hadi 28, 2025. Ahmed Arajiga Arajiga...
  11. CAF yaiengua Kenya kuandaa Chan 2025 waambiwa viwanja vyao havina vigezo

    Nimelia sana kusikia kuwa uwanja wa Kasarani na vingine havina hadhi ya kuandaa michuano ya CHAN 2025 nafasi yao imepelekwa kwa Rwanda Poleni wakenya
  12. Ally Salim atemwa, Aishi Manula arejeshwa kikosini Taifa Stars

    Mlinda mlango wa Simba SC Aishi Manula amejumuishwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi za kuwania kufuzu CHAN 2025 baada ya kukaa nje ya kikosi hiko tangu Machi 2024 Tanzania itaikabili Sudan ugenini Octoba 27 2024 huku mechi ya marudiano itapigwa Benjamini Mkapa Novemba 3 2024...
  13. CAF Wakagua Miundombinu ya Michezo Kuelekea CHAN 2025

    Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) watembelea na kufanya ukaguzi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 5, 2024. Viongozi hao wapo nchini kwa takriban siku mbili kuanzia Oktoba 5 kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa viwanja mbalimbali vitakavyotumika kwenye mashindano ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…