Vyama vya upinzani vya Tanzania ukiondoa chama cha CHADEMA Vimeonesha wazi ya kwamba havipo kwaajili ya kuiondoa CCM madarakani bali vipo kwaajili ya kukifanya chama mapinduzi kuendelea kuwa madarakani.
Vyama vya upinzani vilikuwa na nafasi adhimu ya kukibana chama Cha CCM kikae pamoja nao na...