chama cha nld

The Party for Democracy and Progress (Swahili: Chama cha Demokrasia na Maendeleo), commonly known as Chadema, is a centre-right political party in Tanzania.
Chadema is the second-largest political party in Tanzania and campaigns on regional autonomous of self-governing states in the country.

View More On Wikipedia.org
  1. PostGE2025 Katibu wa NLD Hassan Doyo: Vijana watakaotoka nje kwa msamaha wa Rais basi wasijielekeze tena kuleta vurugu

    Wakuu, Hivi hiki chama cha NLD kilipata asilimia ngapi kwenye Uchaguzi Mkuu? -------------------------------------- CHAMA cha National League for Democracy (NLD) kimetoa wito kwa vijana wakaopata msamaha wa rais kutokana na vurugu zilizojitokeza wakati wa uchaguzi Oktoba 29, 2025 kutotumia...
  2. GE2025 NLD yarejesha fomu ya kuisaka Ikulu Zanzibar

    Mtiania urais wa Zanzibar kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD) Mfaume Khamis Hassan akikabidhi fomu za kuomba uteuzi kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi ofisi za tume hiyo, Maisara Unguja Zanzibar leo Septemba 10, 2025. Picha na Jesse Mikofu
  3. GE2025 Doyo: Mama yangu kukamatwa na polisi kisa kodi kumenipelekea niingie kwenye siasa

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Mohammed Doyo amesema kuingia kwake kwenye siasa si kwa sababu ya baba yake kuwa mwanasiasa bali ni maumivu aliyoyapitia akiwa mdogo. Soma pia: Helbeth Mlelwa anadaiwa kukamatwa na...
  4. GE2025 Chama cha NLD chaomba radhi kwa kusitishwa kwa shughuli za kampeni za Mgombea Urais mnamo Agosti 31, 2025

    TAARIFA RASMI YA CHAMA CHA NLD KUHUSU KUSITISHWA KWA SHAMRASHAMRA ZA KUMPONGEZA MGOMBEA URAIS MHE. DOYO HASSAN DOYO NA MGOMBEA MWENZA BI. CHAUSIKU KHATIBU, NA KUOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE ULIOJITOKEZA Chama cha National League for Democracy (NLD) kinapenda kutoa taarifa rasmi kwa waandishi...
  5. PreGE2025 Hassan Doyo achukua Fomu ya Urais kupitia Chama cha NLD, ataja vipaumbele Kumi

    Katibu Mkuu wa chama cha National League for Democracy (NLD), Hassan Doyo amechukua fomu ndani ya chama hicho kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania urais wa Tanzania, huku akieleza sababu ya kutaka nafasi hiyo, akibainisha vipaumbele kumi. Doyo amesema vipaumbele hivyo atavitumia iwapo chama hicho...
  6. PreGE2025 Mgombea Urais wa Chama cha NLD, Hassan Doyo: No Reform, No Election CHADEMA wenyewe hawajaungana

    Wakuu Mtia nia wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha NLD Bw. Hassan Doyo kupitia Crown FM anadai "CHADEMA yenyewe hawajaungana kwenye ajenda ya No reform, No election kwahiyo ni ngumu kuungana nao" Pia, Soma Chama cha NLD champongeza Rais Samia kuteuliwa kuwa mgombea Urais CCM. Viongozi...
  7. PreGE2025 Chama cha NLD chatangaza kushiriki Uchaguzi Mkuu. Katibu atangaza chama kitagawa fomu bure kwa wataotaka kugombea

    Wakuu, CHAMA cha National League for Democrats (NLD) ,leo jumapili kimetangaza kuanza kwa mchakato wa ndani ya chama wa kuwapata wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Rais kuelekea Uchaguzi Mkuu, utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Aidha chama hicho kimetangaza neema kwa wagombea...
  8. PreGE2025 Chama cha NLD champongeza Rais Samia kuteuliwa kuwa mgombea Urais CCM. Viongozi waipinga "No Reform No Election" ya CHADEMA

    Wakuu, Chama cha National League for Democracy (NLD) kimesema kitaendelea kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 licha ya changamoto za kisiasa. Akizungumza Februari 23, 2025, jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa NLD, Doyo Hassan Doyo, alieleza kuwa chama hicho hakijaunga mkono kauli ya Mwenyekiti wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…