chama cha kijamii

Chama Cha Kijamii (CCK) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Mvua yatibua uzinduzi wa kampeni za Chama cha Kijamii (CCK)

    Unaweza kusema mvua imetibua uzinduzi wa kampeni za Chama cha Kijamii (CCK) zinazoendelea leo Jumamosi, Agosti 30, 2025, katika viwanja vya Kwa Tesha, Mbagala Kijichi jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, licha ya mvua hizo, wafuasi wa chama hicho waliendelea kubaki kwenye matenti yaliyokuwa...
  2. GE2025 Chama cha Kijamii (CCK): Tukichukua nchi kila mtumishi tutamjengea nyumba

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Kijamii (CCK), David Daud Mwajojele, amewasili katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma, akiwa ameambatana na mgombea wake mwenza, kwa ajili ya kuchukua fomu za kuteuliwa kugombea nafasi ya Rais na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…