Kwahiyo wameona kampeni ya No reforms no Election kwao ni ngumu? Au ndio wale CCM wanavalishwa nguo za CHADEMA kionesha umma kutulisha tango pori?!
Yaani CHADEMA avumilie kote huko aje kuhama leo? Msitufanye watu wajinga bana😂🤣🤣
=========
Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter Kunambi (MNEC)...