chadema pwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Baraka Nandonde na Isaya Mwita wapewa nafasi mpya CHADEMA Pwani

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani kimewateua Baraka Mussa Nandonde kukaimu nafasi ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Kanda hiyo, na Isaya Mwita kushika nafasi ya mweka hazina wa CHADEMA kwa ukanda huo. ‎ ‎Taarifa hiyo imetolewa Desemba 24, 2025, na Katibu wa CHADEMA Kanda...
  2. PreGE2025 Boni Yai afuturisha mamia ya Wananchi Pwani, ahimiza mshikamano na harakati za 'No reforms No Election'

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani Boniface Jacob maarufu Boni Yai amefuturisha mamia ya Wananchi wa Kanda ya hiyo katika Iftari maalum iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Hall Sinza jijini Dar es Salaam tarehe 22 Machi 2025. Akizungumza Baada ya iftar...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…