Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema ushindi wa chama hicho katika chaguzi unatokana na kuwa na mfumo imara na mtandao mpana wa wanachama kuanzia ngazi ya shina hadi taifa.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani...