ccm itang'olewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Buruhani amjibu Nape: Ndani ya CCM anaweza kuondoka yeye, lakini Chama hakitaondoka madarakani hata baada ya Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amejibu kauli ya Nape Nnauye kuhusu chama hicho kuondoka madarakani akisema "Ndani ya CCM anaweza kuondoka yeye, lakini Chama hakitaondoka madarakani hata baada ya Samia" Soma > Nape: Vyombo vya Dola visipojali UTU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…