Msanii na mchekeshaji maarufu nchini, MC Pilipili, ameonyesha dhamira ya kutumikia wananchi kwa vitendo baada ya kuchukua na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya Udiwani katika Kata ya Tambukareli, Jimbo la Mtumba, jijini Dodoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia...