Ahsante Yanga kwa kuonyesha mwanga wa Taifaaa ...[emoji23][emoji23]
Pamoja na kuwa mchambuzi maarufu hapa jamii forum pia mwanachama wa Simba ....ila nakubali kuwa Yanga walituchongea njia ya kwenda final......hivyo tumejifunza mengi Kwa Yanga mfano
1. Kukaza ugenini....Simba always ilikuwa...