cafcc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hongereni sana Yanga SC kwa Ushindi na Kuingia Makundi CAFCC

    Mmecheza mpira mwingi na mkubwa mno huku wachezaji wote wakiwa na ari, nia na uthubutu wa kufanya vyema, na hakika mmekifanya na mmestahili pia. Hata hivyo mwenyewe tu kimoyo moyo nilikuwa bado natafuta kiini cha ajali ya ndege ya watu majuzi na waliosababisha, kwani kwa ndege kama ile, tena...
  2. Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

    FULL TIME: Yanga inafanikiwa kufuzu Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 89' Bakari Mwamnyeto anaingia anatoka Morrison 88' Wenyeji wanaonekana kama wamkata tamaa, wanapata kona 80' Yanga wameanza kucheza vizuri zaidi, wanamiliki mpira Azizi Ki...
  3. M

    Natamani kuionya Young Africans makundi ya CAFCC

    Natamani kiongozi mmoja amshike bega mtoto pendwa mwana Kalala amwambie kuwa katika mechi hii inahitajika nafasi moja ili kulipata goli moja, natamani amwambie kuwa pindi azam tv na king’amuzi chao bora watakapotoa takwimu za mwisho na tukaona upande wa njano na kijani una on target 3 basi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…