Mchezo wa Dabi nchini Libya kati ya Al-Ahli Tripol dhidi ya Al-Ittihad ulisimama katika dakika ya 39 baada ya Mashabiki wa Al-Ahli kuvamia uwanja kupinga goli la kutangulia la Al Ittihad.
Mwamuzi kutoka nchini Ureno Fábio José Costa, alijeruhiwa na mchezaji wa akiba na Mwamuzi akakataa...