Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepitisha azimio linalopendekeza kusitishwa kwa ufadhili wa fedha za maendeleo kwa Tanzania, likieleza wasiwasi juu ya mazingira ya kisiasa na ukiukaji wa haki za binadamu ulioripotiwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025.
Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya...
Hata kabla ya Uchaguzi, Bunge la Umoja wa Ulaya lilikuzungumzia sana namna unavyoteka na kupoteza watu.
Ulivyo na kiburi uliwapuuza. Ukazidi kuwateka, kuwafira, kuwaua na kuwafungulia kesi za Uongo Watanganyika.
Ukamkamata mwenyekiti wa Chadema wakakuambia muachie ukasema wewe hupangiwi...