Mtaalamu mahiri wa masuala ya uchumi nchini, Dkt. Bravious Kahyoza, amechukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Muleba Kusini mkoani Kagera kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Hatua hiyo inadhihirisha dhamira yake...