MTOTO WA ZARI aliezaa na marehemu Ivan, alie kua mzazi MWENZA na diamond PLATNUM, pinto ambaye ni kaka yake na tiffah dangote, amebadili DINI na KUINGIA KWENYE UKRISTO ili hali amelelewa kwenye UISLAMU,
Huenda yule demu wake MZUNGU kahusika na hili muda utasema, hata hivyo zari kampongeza...
Zari Hassan maarufu kama Boss Lady amejikuta mwenye majonzi baada ya mumewe, Cham Lutaaya, kuchezea kichapo heavy na kupoteza kwa knockout mikononi mwa msanii Rickman Manrick katika pambano la The Kampala Rumble.
Pambano hilo lililofanyika jana Agosti 30, 2025 katika Ukumbi wa MTN Arena...