Rais wa World Economic Forum (WEF), Borge Brende, amejiuzulu wadhifa baada ya kubainika kuwa alikuwa na urafiki na mahusiano na marehemu Jeffrey Epstein ambaye alikuwa na makosa ya unyanyasaji wa kingono.
WEF iliagiza uchunguzi huru kumchunguza Brende baada ya nyaraka zinazomhusu Epstein...