Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob maarufu kama "Boni Yai" akiwa Kwenye Mkutano wa hadhara wa Chama cha Chadema Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ameeleza kuwa Chama chake kinatambua mchango mkubwa wa Aliyekuwa Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, akimuomba asikae mbali na Chama...