Tunataka mamlaka hii iwebora na inakuwa katika viwango vya kimataifa kuendana sawa na mamlaka zingine katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kwani imepewa majukumu makubwa ya kusimamia mapato ya nchi,” amesema.
Zanzibar. Baada ya Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) kupandishwa hadhi na kuwa Mamlaka ya...