KITAMBULISHO au Press Card anayobeba mwandishi wa habari, haina uwezo wa kumpa au kumwongezea elimu, maarifa wala stadi.
Tuseme hivi: Hiki ni kitambulisho tu. Hakina hata uwezo wa kukamilisha, kuongeza au hata kupunguza sifa za mwandishi wa habari. Ni kwa ajili ya kutambulishwa na...
BODI YA ITHIBATI YA WAANDISHI WAHABARI UFAFANUZI KUHUSU WANAODAIWA KUWA WAANDISHI WAHABARI KUSHIKILIWA NAJESHI LAPOLISI MKOANIARUSHA
Dar es Salaam
12 Septemba, 2025
Kwa mujibu wa Kifungu cha 13(a) cha Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229, Bodi ina wajibu wa kutoa ithibati na vitambulisho...