Wakuu,
Kama wote tunavyojua kuwa huko Uganda inatarajiwa kufanya Uchaguzi Tarehe 15 Januari na kufikia sasa kampeni zimeendelea kupamba moto na kutaradadi huku washindani wakubwa kwenye Uchaguzi akiwa ni Bobi Wine wa NUP pamoja Yoweri Museveni wa NRM
Uzi huu utakusogezea Updates zote za...