Ni nani hasa anayeitwa Black Pope? Na kwa nini jina hili halijulikani sana kama la White Pope (Papa wa kawaida wa Vatican)?
Wengi hawajui kuwa ndani ya Kanisa Katoliki kuna mtu mwenye mamlaka makubwa, lakini ambaye haonekani hadharani, Jesuit Superior General.
Huyu si papa mweusi kwa maana...