Asma majid kwa sasa ndio mrembo namba moja Tanzania, na africa kiujumla.
Pamoja na kuwa na elimu ya masters in economics, ambayo aliipatia pale oxford uingereza, havijamzuia kufanya tasnia yake ya maigizo na mitindo.
Asma kwa sasa ni moja ya wafanyabiashara wakubwa wakike barani Africa. Huku...