Nimegundua nguvu iliyopo kwenye kuzungumza na Kushindana kwa Maneno!!
Kwa muda mrefu ninekuwa nikiliwaza sana hili suala, Kwanini mtu huwezi kufanikiwa au kupata jambo fulan mpaka uwe mzungumzaji.
Ukiwa mkimya kuna possibility ya mtu kusahaulika lakini ukiwa unabwabwaja kila mtu...