biashara ya chips njombe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Milioni 1.5, Biashara ya Chips Njombe inalipa?

    Habari za muda wana JF, Katika harakati zangu za maisha nimejikuta tu nadondokea Njombe. Nina wiki mpaka sasa. Maisha yamenichapa balaa. Mfukoni nina kama 1.5M, nikawa nawaza biashara ya viazi, kwa maana ya chips. Naomba wazoefu wa mkoa huu wanaoujua vizuri wanielekezee. Hii biashara inalipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…