biashara ya asali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nauza asali mbichi

    Habari waungwana. Nauza asali mbichi kwa bei ya jumla, kutoka mkoa wa Tabora. Lita 1 ni elfu kumi 10k Lita 5 ni elfu hamsini 50k. Lita 20 ni laki mbili mzigo wako. Baki salama.
  2. K

    Ningependa kupata msaada kwa mwenye uzoefu wa kuuza asali nje ya nchi

    Ningependa kupata msaada kwa mwenye uzoefu wa kuuza asali nnje ya nchi. Kama kenya na kwingineko. au ambae tuanweza kushirikiana nae kufanya biashara hiyo mimi ni mtaalamu wa ufugaji nyyuki na kuzalisha asali. Kwa mawasiliano 0764866851
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…