Idadi kubwa ya waandamaji zaidi ya 100,000 walijitokeza mjini Berlin wakipinga vita vya Gaza ,waandamanaji hao waliipa jina Together for Gaza
Waandamanaji mashinikizo yao kwa serikali ni pamoja na ;
-Amani Gaza ipatikane
-Haki za binadamu lazima zilindwe
-Serikali ya Ujerumani iache kutoa...