Afisa Mtendaji Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Shani Kinswaga, akizungumza na wateja wake kuhusu kuisogeza huduma ya Elite Banking kwa wateja wa Arusha na Kilimanjaro, huduma inayowapa wateja fursa za kipekee za kifedha, ushauri wa kitaalamu, na upatikanaji wa huduma za kibinafsi...