bei ya ng'ombe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Bei za mifugo kama Ng'ombe zinapaa sana shida nini?

    Nimeingia shambani kwa tajiri mmoja hapo iringa anafuga ng'ombe , aisee nauliza bei ya ng'ombe nambiwa five m, huyu six m na hatanii kabisa, nikaona huu uboya nimeenda tukuyu mbeya wanakopatikana ngombe wa maziwa nakuta nako bei zimechangamka sana , najiuliza nini kimetokea,nipeni location...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…