bei ya magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mfumuko wa bei ya magari Tanzania

    Habari zenu wakuu... Nimekua nikiperuzi websites maarufu kwa mauzo ya magari kutoka Japan yaani SBT na Be Forward... Naona gari zimekuwa na bei kubwa sana ukicompare na kipindi kifupi kilichopita. Yaani hizi ndogo mf. Allex, IST, Honda Fit, nk zote zinachezea kuanzia 17M hadi 22M wakati...
  2. Hii gari bei gani ?

    Wakuu Hizi gari naziona sana town, Ni bei gani hizi gari, labda naweza kujichanga nikanunua
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…