Habari wanajamii forum.mimi ni kijana wa miaka 25,nimejigundua ninaugonjwa wa BAWASILI wiki moja iliyopita na hapohapo nikaanza matibabu japo hii yangu ni stage ya kwanza na inaonekana ni ndogo sana,tangu nianze matibabu ya dawa za mahospitalini ninaweza kusema ninashukuru sana kwa sababu...