bawacha pwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Mbagala Khadija Mwago atinga kwenye mkutano wa CHAUMMA

    Wakuu, Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) Mbagala, Khadija Mwago (wa kwanza kulia) akiwa na makada wengine wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kwenye viunga vya Golden Tulip, vinakofanyika vikao viwili vya chama hicho leo Mei 19, 2025.
  2. Mwenyekiti BAWACHA Pwani: Sioni sababu ya kumwondoa Mbowe.Tunataka aendelee hadi tutakapokamata dola!

    Wakuu, Viongozi mbalimbali wa CHADEMA wameendelea kutoa matamko yao wakati wakiwa wanaelekea kwenye Uchaguzi Haya ni maneno ya Rose Moshi, Mwenyekiti BAWACHA Kanda ya Pwani "Sioni sababu za kumbadilisha na kumuondoa tunatakiwa kumuombea ili aendelee na moyo huo huo wa ujasiri mpaka hapo...
  3. PreGE2025 BAWACHA Pwani kutoa Tsh. Milioni 1.5 kumchangia fomu ya uenyekiti Mbowe

    Mambo yanazidi kunoga huko jamani. BAWACHA Pwani wamesema watatoa Tsh. Milionin1.5 kumchangia Mbowe achukue fomu ya kugombea uenyekiti CHADEMA sababu wanaamini kwenye uwezo wake. Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi Mbowe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…