barua ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Barua kutoka kwa Tundu Lissu: Samia Suluhu Hassan hakuchaguliwa na sio Rais halali wa nchi yetu

    BARUA KUTOKA GEREZA KUU LA UKONGA. Samia Suluhu Hassan hakuchaguliwa na sio Rais halali wa nchi yetu: Kwa mujibu wa Taarifa ya awali ya watazamaji wa uchaguzi kutoka umoja wa Africa (AU); 1. Taratibu za kisheria za uchaguzi zilizotumika zilikuwa "...kinyume na viwango vya kikanda, kibara na...
  2. Barua ya Lissu kwenda kwa Dkt. William Leo

    Barua ya Lissu kwenda kwa Dr William Leo. Dr William habari, sitaweza kuandika mengi kwenye barua hii sababu sina karatasi za kutosha, ila kama ujumbe utafika naomba uwatumie na watanzania wote mimi nikiwa bado kwenye nondo za gereza. Siku ambayo nilisema nitasimama na taifa langu la Tanzania...
  3. A

    PreGE2025 Barua rasmi ya Tundu Lissu kwa Watanzania kutoka gerezani Ukonga

    Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga. Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo, Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…