Hali ya barabara Kibaha Mailimoja, Mitaa ya Kwa Mang’umbi hadi Tankini, leo Desemba 28, 2025, ni ya kusikitisha, mara nyingi mvua inaponyesha inakuwa haipitiki kirahisi na hivyo kusababisha kero kubwa kwa usafiri wa kila aina wakiwemo watembea kwa miguu.
Wananchi tunajiuliza, viongozi wapo...