Barabara ya Inyala - Simambwe yenye Kilomita 16.7 Mkoani Mbeya iliyojengwa kwa kiwango cha lami kwa shilingi bilioni 7.05 ikiwa mwaka wa pili sasa tangu kukamilika kwa ujenzi wake tayari imeanza kuwa na mashimo.
Kwenu TARURA. Je, ilistahili kujengwa kwa kiwango hiki cha kuwa na mashimo ndani ya...