HABARI YA LEO WAKUU,
Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Bw. Alberto Msando.
Kwanza nikupongeze kwa Uteuzi wako wa kuja kuiongoza Wilaya hii ya Ubungo, tuna matumaini na wewe tena sana tu.
Nikupongeze pia kwa juhudi ulizozianzisha za kupunguza au kukomesha foleni zisizo na msingi...