Mgombea wa Ubunge Jimbo la Pangani Mkoani Tanga Jumaa Aweso amemuomba Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan atakapopata Ridhaa ya kuongoza Tena Serikali awajengee Wakazi wa Pangani Bandari ya Mifugo
Awesome ameyasema hayo Leo Sept 29,2025...