Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Mhandisi Machibya Masanja ametembelea banda TRC katika maonesho ya kimataifa ya biashara (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya maonesho hayo kufunguliwa rasmi Julai 7, 2025 na Rais...