Spika wa Bunge, Mussa Zungu leo amepokea rasmi jina la Makamu wa Rais Mteule, Deogratius John Ndejembi lililopendekezwa na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Jina hilo limewasilishwa kwa Spika na Katibu wa Rais, Balozi Ali Jabir Mwadini akiwa ameambatana na Mpambe wa Rais (ADC), Brig. Jen. Nyamburi...