WAZIRI KOMBO ATETA NA BALOZI MKINGULE, AMHIMIZA KUIMARISHA MAHUSIANO YA TANZANIA NA CUBA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana kwa mazungumzo na Balozi mteule wa Tanzania nchini Cuba, Luteni Jenerali Mathew Mkingule...