Wakuu,
Kwa nini Tume ya Uchaguzi isitengeneze masanduku ya kura yanayoweza kuharibika ili kulinda mazingira? Ni wazo la kufikirisha, hasa ikizingatiwa kuwa uchaguzi hufanyika kila baada ya miaka mitano.
Najiuliza ni kwa sababu gani bado tunatumia masanduku ya kura ya plastiki badala ya kutumia...