Wakuu maisha kutoboa yataka moyo thabiti na mgumu kweli kweli.
Nimejifanyia Audit nimegundua tsh 235,000 haijulikani ilitumika kwa matumizi yapi.
Matumizi yangu ya muhimu nayakumbuka yote lakini mwisho wa siku nimefanya mahesabu nimegundua tsh 235,000 imetumika katika matumizi ya ovyo ovyo...