bahari beach

Bahari is an American alt pop, electronic and dark pop musical duo, previously a trio, composed of Ruby Carr and Natalia Panzarella. Sidney Sartini left the band in 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Natafuta wheeled excavator ya kukodi siku (March 9)moja Bahari beach

    Habari wadau Kuna kazi ya siku moja Bahari beach inayohitaki hiyo Excavator ya matairi kwaajiri ya kukata layer ya kifusi kilichosindilisa
  2. Nyumba Inauzwa Bahari Beach Simba/Mugeta st

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  3. Nyumba Inauzwa Bahari Beach Simba road

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  4. H

    KERO Dawasco Mbezi Kunduchi Bahari Beach hamna maji

    Katibu Mkuu - Maji na Waziri Maji, ni karibu mwezi sasa hatuna maji ya uhakika. Mafundi wanadai kuwa mitambo ya maji Wazo ni mibovu na hawajui lini yatapona. Ushauri wanao toa ni kuchimba visima kama unaweza na kuchimbia simtank.
  5. Plot4Sale Kwanja kinauzwa,kipo bahari beach,cha kwanza kutoka lami, kiwanja kina ukubwa wa 4,000sqm na kina fance ambazo zimegawanywa

    #plotsforsale KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA UKUBWA WA KIWANJA NI 4,000SQM NI KIWANNA CHA KWANZA KUTOKA BARABARA YA LAMI (Bahari Beach) RAMANI YA MUUZAJI ULIKUWA NI KUJENGA APARTMENTS,KWAHYO AKAGAWANYA FENSI VIPANDE VINNE NDANI YA KIWANJA KIMOJA ENEO NI ZURI SANA KWA SHUGHULI MBALIMBALI ZA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…