Hivi mimba zote ndio zilivyo hivi mtu ana lia bila sababu una bembeleza mpaka una pata hasira una amua kwenda mbali ukirudi tu ana weza kukuuliza swali wewe uka mjibu vizuri
Lakini aka angua kilio kikubwa kichwa kinauma aseee bora now nipo mbali lakini ana weza kukupigia simu ana lia tu sababu...