Muda mfupi baada ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo, Abdul Nondo kuchukua fomu ya kugombea ubunge Kigoma Mjini, kada wa CCM, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo anayewania jimbo hilo, amedai kuwa hizo ni njama za kumwepusha kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo...