Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha zoezi la kuainisha na kutenga maeneo maalum ya uchimbaji visima virefu vya maji katika Mkoa wa Dar es salaam.
Hatua hiyo ni mojawapo ya mipango mikakati ya Mamlaka ya kuongeza uzalishaji maji chini ya ardhi kwa lengo...