Kuna bomba la maji limepasuka Arusha Kata ya Oloiren Mwanama Reli Kibaoni.
Taarifa ilitolewa tangu mwezi mei kwa simu lakini mpaka leo hakuna hatua zozote zimechukuliwa.
Maji yanavuja na barabara inaharibika
Soma Pia: Nipo nje ya mji, nyumba imefungwa Kata ya Olorieni - Arusha lakini bili ya...