askofu stephano musomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Askofu awauliza wanaosema Maaskofu wanachanganya Dini na Siasa, kwani Waumini wanaishi hewani?

    Askofu Musomba, akiwa kwenye homilia amehoji mambo mengi muhimu: 1. Amesema, zamani mtu akifariki watu walikuwa wanahuzunika na kulia sana, imekuwaje sasa, mtu anakufa, watu wanashangilia? Amesema lazima tujiulize ni nini kimetufikisha hapa? Nini chanzo cha haya? Lazima tuuseme ukweli...
  2. Q

    Askofu Stephano Musomba: Hakuna mtu anayeweza kulitisha Kanisa Katoliki

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema, Waumini wa Kanisa Katoliki wana kila sababu ya kujivunia ukatoliki wao bila kuyumbishwa au kutishwa na mtu yeyote yule. Amesema, Kanisa Katoliki limeendelea kusimama imara kwa sababu ni Kanisa lililojengwa juu ya...
  3. PostGE2025 Askofu Stephano Musomba: Tunawaombea waliouawa wakati wa uchaguzi mkuu, kwa sababu hawa hawajaumwa walipigwa risasi

    Misa Takatifu ya kuwaombea waliouwawa na waliojeruhiwa katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025 | Kanisa Kuu la Moyo Safi wa Bikira Maria, Jimbo Katoliki Bagamoyo ikiongozwa na Askofu Stephano Lameck Musomba O.S.A “Tunaadhimisha misa hii nia zetu tatu, kwanza tunawaombea waliouawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…