Gari la askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji visiwani Zanzibar, limepata ajali na kusababisha kifo cha askari mmoja huku wengine wakijeruhiwa.
Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji visiwani Zanzibar, Kamishna Mzee Abdallah, amesema gari hilo lilikuwa kwenye msafara wake, wakati akikagua...